Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
Habari za wakati huu wakuu.

Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.

Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.

Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.
 
Marahaba hujambo...
Iko hivi mtu aliyekufa anakula bata Sasa hivi kuliko hata wewe ambaye unaishi so kumzuia asijiue ni kumzuia kuponda raha huko anakotaka kwenda.
Hii ndiyo kusema kumzuia mtu anayetaka kufa ni kumwonea wivu.
Najua hutanielewa Leo lakini ukikua utanisoma.

Bye bye 👋
 
Weee acha basi mkuu, mbona sa haujiui ukale raha kiongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…