The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Dunia ina elimu nyingi sana zingine kwa ajili ya wiseman wengine waishie kwenye singeli tuWe ulishajinyonga ukayaona haya unayoyasema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ina elimu nyingi sana zingine kwa ajili ya wiseman wengine waishie kwenye singeli tuWe ulishajinyonga ukayaona haya unayoyasema?
Acha kamba.Dunia ina elimu nyingi sana zingine kwa ajili ya wiseman wengine waishie kwenye singeli tu
we ikikukuta hio hali ungejiua mkuu?
Hiyo nayokuambia nimeona Kwa Mzee mmoja kijijini huko mke alikua anazingua kutaka kujiua yule Mzee alimpa panga na sumu ,Kisha akaondoka,kurudi kamkuta mke anatwanga kisamvu Cha mboga ya jioni😳 😳 shukrani wengine pia wamesema the same, ukimpa atashangaa sana na atahoji inamaana hunipendi kiasi hiko akili zitarudi.
Hahaha! Dah! kama movie kumbe kweli, sometime inahitajika kusolve jambo the hardway dawa ya moto ni moto.Hiyo nayokuambia nimeona Kwa Mzee mmoja kijijini huko mke alikua anazingua kutaka kujiua yule Mzee alimpa panga na sumu ,Kisha akaondoka,kurudi kamkuta mke anatwanga kisamvu Cha mboga ya jioni
Akileta uchizi na wewe unamletea uchizi zaidiHahaha! Dah! kama movie kumbe kweli, sometime inahitajika kusolve jambo the hardway dawa ya moto ni moto.
Ewaa, swadaktaa.k.a ubaya ubwela
Pole sana nimepita huko pia nikashinda lakini kwa kusaidiwa.
Jibu la mtu mzima anaejielewa ni dawa, shukrani kiongozi kwa mwongozo mzuri hii itawafaa wengi.Marhaba kijana wangu
Unachotakiwa kufanya katika malezi jitahidi ujue sababu ya kukataa shule au jambo ambalo wewe mzazi unataka mtoto wako afanye.
Kaa nae chini na uwe rafiki yake ili ujue mtazamo wake na mipango aliyo nayo na baada ya kumjua kwa kina mtoto wako anza kumshauri.
Ila kama bado ataendelea kuwa bandidu na asiyetaka kusikia mtafutie kibarua ili awe bize.Baada ya hapo wewe endelea n mambo yako.
Kama mtoto wako ni wa kike na anataka kuolewa na mtu mruhusu afanye hivo baada ya kukataa ushauri.
Haya maisha usipate shida sana na mtoto asiyetaka kusikia kwani "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu".
Kama wewe mzazi bado una nguvu endelea kuzaa watoto wengi nje au hata ndani ya ndoa ili wengine wawe ni sadaka kwa shetani.
ZipiAcha kamba.