Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Dogo Ana Wivu Na On To The Next One Ya Maisha Ya Wengine Anataka Kujifanya Mwokovu,,Atajitwika Misalaba Ya Wengine Imshinde Ulimwengu Na Walimwengu Wamsulubu.
Duh! bangi uliyovuta umechanganya na nini.
 
Watu hatuwezi kufanana unavyowaza wewe sio lazima na mwingine awaze hivyo.
Ndo maana nasema usimzuie mtu anayetaka kufa Kwa sababu hamfanani mtazamo. Yeye anawaza kulala milele wewe unataka aendelee kuishi kumbe kuishi siyo kipaumbele chake.
 
Back
Top Bottom