Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Yeah! Humo humoKabisa atakaa sawa ndio Therapists au wale ni wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah! Humo humoKabisa atakaa sawa ndio Therapists au wale ni wengine
Kama kila mtu atasema mind your own business, wengi wataendelea kuumia bila msaada. Kukubaliana na uovu wa kuona wenzako wanaumia huku unaweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine sio sawa. Hio dhambi itakutafuna.Mtoa Uzi hebu eleza kwanza kwanini utake kumsaidia mtu anaetaka kujiua. Kwani kakuomba msaada wako? Vitu zingine ni kiherehere chako tu. Mind your own business
Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.
Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.
Kutolewa lock = kichapoNi kweli , watolewe lock kivipi mkuu
Sahihi, mzee alikuwa sahihi na aliokoa maisha ya huyo mwanamke, tena ukikuta mtu anataka kumeza dawa nyingi afe mwambie hizo chache nenda akaongezee zingine ufe haraka. Utakuwa umemwokoa, roho ya mauti haina masihara kabisa, usipojua namna ya kumsaidia mhanga anaondoka duniani.Back in then tukiwa watoto kuna jirani alikoroga sumu kwenye kikombe anataka kujiua baada ya ugomvi na mumewe. Mume kanyang'anya kikombe kisha faster kaja home kuomba msaada. Tukaenda, dingi yangu akamwambia mumewe hiyo sumu iko wapi ikaletwa pale, walidhani anataka ushahidi. Dingi kuchukua kikombe akwambia shika hiki kikombe umeze hii sumu yote mbele yetu. Victim akabaki kuomba tu samahani. It was so strange na siyo scientific, but it worked.
Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.
Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.
Hakikabora ajiue kuliko kuua wengine
Mkuu hapo si nitakua mjingamimimuache tu
solution ya kutoa hilo pepo ni lipi mkuu?!
Dogo Ana Wivu Na On To The Next One Ya Maisha Ya Wengine Anataka Kujifanya Mwokovu,,Atajitwika Misalaba Ya Wengine Imshinde Ulimwengu Na Walimwengu Wamsulubu.Marahaba hujambo...
Iko hivi mtu aliyekufa anakula bata Sasa hivi kuliko hata wewe ambaye unaishi so kumzuia asijiue ni kumzuia kuponda raha huko anakotaka kwenda.
Hii ndiyo kusema kumzuia mtu anayetaka kufa ni kumwonea wivu.
Najua hutanielewa Leo lakini ukikua utanisoma.
Bye bye 👋
We mwache atakula jeuri yake.Dogo Ana Wivu Na On To The Next One Ya Maisha Ya Wengine Anataka Kujifanya Mwokovu,,Atajitwika Misalaba Ya Wengine Imshinde Ulimwengu Na Walimwengu Wamsulubu.