Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Mkoa gani huo? Iringa au Njombe?Habari za wakati huu wakuu.
Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje.
Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame hapa, dogo akajiua.
Ukigundua mtu anataka kujiua unamsaidiaje wakuu maana tunapoteza ndugu,jamaa,na marafiki zetu huenda ushauri wenu ukaokoa maisha ya mtu one day.
Tabia na tamaduni za jamii na jinsi jamii inavyolichukulia suala la kujiua kama suluhu ya tatizo.
Epukeni mikusanyiko na vijiwe vinavyojadili kifo kama suluhu ya mstatizo yenu. Jadilini uthamani wa uhai mliopewa na Mungu.