Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

😳 😳 shukrani wengine pia wamesema the same, ukimpa atashangaa sana na atahoji inamaana hunipendi kiasi hiko akili zitarudi.
Hiyo nayokuambia nimeona Kwa Mzee mmoja kijijini huko mke alikua anazingua kutaka kujiua yule Mzee alimpa panga na sumu ,Kisha akaondoka,kurudi kamkuta mke anatwanga kisamvu Cha mboga ya jioni
 
Hahaha! Dah! kama movie kumbe kweli, sometime inahitajika kusolve jambo the hardway dawa ya moto ni moto.
 
Marhaba kijana wangu
Unachotakiwa kufanya katika malezi jitahidi ujue sababu ya kukataa shule au jambo ambalo wewe mzazi unataka mtoto wako afanye.
Kaa nae chini na uwe rafiki yake ili ujue mtazamo wake na mipango aliyo nayo na baada ya kumjua kwa kina mtoto wako anza kumshauri.
Ila kama bado ataendelea kuwa bandidu na asiyetaka kusikia mtafutie kibarua ili awe bize.Baada ya hapo wewe endelea n mambo yako.
Kama mtoto wako ni wa kike na anataka kuolewa na mtu mruhusu afanye hivo baada ya kukataa ushauri.
Haya maisha usipate shida sana na mtoto asiyetaka kusikia kwani "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu".
Kama wewe mzazi bado una nguvu endelea kuzaa watoto wengi nje au hata ndani ya ndoa ili wengine wawe ni sadaka kwa shetani.
 
Jibu la mtu mzima anaejielewa ni dawa, shukrani kiongozi kwa mwongozo mzuri hii itawafaa wengi.
 
Back
Top Bottom