Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Machawa Pro!Uko sahihi,ila hii nchi wananchi wake wengi ni wanafiki sana,nq ni wabinafsi.
Tungepata vijana wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore ndani ya JWTZ rasilimali za Tanganyika zingenusurika kutoka mikononi wa mafisadi ya CCM yanayozigawa ovyo kama njugu za kuonja.Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
Familia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
tatizo letu ni kuwa vigeugeu...Familia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....
Kuna kundi la watu linalalamika anaminya uhuru wa binadamu.
Au ikitokea Burkina Faso ni sawa ila yakitendwa hapa Tanzania sio sawa?
Unajua shilingi Ina pande mbili? Watu kama kina Traore na Magufuli ni matokeo ya kuwa na CCM kama ya Sasa!Familia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....
Kuna kundi la watu linalalamika anaminya uhuru wa binadamu.
Au ikitokea Burkina Faso ni sawa ila yakitendwa hapa Tanzania sio sawa?
Wasamehe bure hawajui walitendaloWewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
Sio tuu unajidanganya, unaonekana huna akiliWewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
MM SIO CCM WL CDM LKN NAFIKIRI TRAORE AMESHUGHULIKA NA MAFISADI YT YA NCHI PASIPO KUJALI VYAMA VYAO. MAGU YY ALIYASHINDWA MAFISADI YA CCMCha ajabu mashabiki wa chadema wanapinga usikteta halafu wote ni maahabiki wa Traore.
Traore na magufuli wana tofauti gani?Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
Kwa sentensi yako hii unakubaliana na CHADEMA kuwa CCM inaiendesha nchi hii kidikteta?Cha ajabu mashabiki wa chadema wanapinga usikteta halafu wote ni maahabiki wa Traore.
Hawana!Traore na magufuli wana tofauti gani?
Dunia hii ni wapi ambapo watu hawaminywi ni kwamba demokrasia inakuwepo so long as you conform na mamlaka kwa wakati huo inataka nini (hususan demokrasia ya sasa)Familia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....
Kuna kundi la watu linalalamika anaminya uhuru wa binadamu.
Au ikitokea Burkina Faso ni sawa ila yakitendwa hapa Tanzania sio sawa?
SS km wenzake ndo wanamgeuka na kuhongwa na hao ufarassa afanye nn?Familia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....
Kuna kundi la watu linalalamika anaminya uhuru wa binadamu.
Au ikitokea Burkina Faso ni sawa ila yakitendwa hapa Tanzania sio sawa?
Mbona ww unaishabikia Urusi na China halafu unaiponda CCMWewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!