Unamshabikia Ibrahim Traore halafu unaipenda CCM. Unajidanganya!

Unamshabikia Ibrahim Traore halafu unaipenda CCM. Unajidanganya!

Mbona ww unaishabikia Urusi na China halafu unaiponda CCM
Sijawahi kuwa shabiki wa siasa za Urusi na china. Ingawa naiuhusudu mifumo ya kiuchumi na kielimu ya uchina.

Urusi imekuwa kubwa kibahati tu lakini uchina ukuu wake unatokana na uwekezaji kwenye Elimu na uchumi Kwa zaidi ya miaka 2,000 Sasa!
 
Dunia hii ni wapi ambapo watu hawaminywi...
SIYO KWELI!

Waminywaji ni wahalifu wa kijamii lakini uminywaji wa watu wasio na hatia ni ufashisti.

Tunachokataa ni kumkosoa kiongozi kuwa ni kosa la kiahini!
 
SIYO KWELI!

Waminywaji ni wahalifu wa kijamii lakini uminywaji wa watu wasio na hatia ni ufashisti.

Tunachokataa ni kumkosoa kiongozi kuwa ni kosa la kiahini!
Ndio hivyo nakwambia dunia ya sasa hususan karne hii Haki ni Illusion; Hata kama sheria zipo sio necessarily ni Haki..., Demokrasia ina loopholes kibao kama jamii hatujaweza kufika kwenye Real Power to the People bado ni power to minority..., although on paper should be the best system lakini practically what is preached is not practiced (na hii ni worldwide); kwahio if it is possible kwa wakati husika a Benevolent Dictator might be the way to go forward sababu hata hio demokrasia inayokuwa preached sio Power to the people..., ndio maana nimekuuliza ni kipi tunataka kwenye Demokrasia ? Na je Traore is he better au worse kuliko waliopita, Na je Kiongozi kazi yake ni nini zaidi ya kuwaunganisha watu na kuwapa a feel good factor ya kuweza kwenda pamoja na kuchangia maendeleo yao ?

Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?
 
Demokrasia ina loopholes kibao kama jamii hatujaweza kufika kwenye Real Power to the People bado ni power to minority...,
Kama demokrasia ina hizo "loopholes" kibao unazosema, unadhani mbadala wake ni upi?
 
Familia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....

Kuna kundi la watu linalalamika anaminya uhuru wa binadamu.

Au ikitokea Burkina Faso ni sawa ila yakitendwa hapa Tanzania sio sawa?
Hilo kundi lijitokeze tulijue kama ni mafisadi na ndivyo ninavyohisi
 
Eti leo unajifanya kumshabikia Traore wakati ulikuwa unamuona Magufuli ni dikteta.
Hata Traore ni dikteta pia. Magufuli kakaa miaka mitano kwenye Urais waliokuwa wanashughulikiwa si uliona walikuwa ni Wana CCM ama washirika wao! Enzi za Magufuli ni mtu gani nje ya CCM aliyeshughulikiwa na Magufuli kwa ufisadi!?

Sisi tulimpinga Magufuli kwa kukandamiza haki za raia wasio wana CCM kama afanyavyo Traore. Lakini kupambana dhidi ya ufisadi wa kimfumo wote wapo sawa.
 
Kama demokrasia ina hizo "loopholes" kibao unazosema, unadhani mbadala wake ni upi?
  • Kwa maendeleo ni benevolent dictator...
  • Best case scenario ni power to the knowledgeable involved people (sababu kama watu hawana uelewa mwisho wa siku ni kuwapa Kura Populists na Demagogues
  • Kwahio in the day and age ya Teknolojia na Block Chain sioni kwanini kusiwe na Direct Democracy ambayo watu ambao wanataka kuwa involved watakuwa involved na kushiriki katika hatima yao

 
Nawaza tu, anayoyafanya Traore, ndio angekua rais wao , hadi nanihii wangeziprint picha zake
 
Hata Traore ni dikteta pia. Magufuli kakaa miaka mitano kwenye Urais waliokuwa wanashughulikiwa si uliona walikuwa ni Wana CCM ama washirika wao! Enzi za Magufuli ni mtu gani nje ya CCM aliyeshughulikiwa na Magufuli kwa ufisadi!?

Sisi tulimpinga Magufuli kwa kukandamiza haki za raia wasio wana CCM kama afanyavyo Traore. Lakini kupambana dhidi ya ufisadi wa kimfumo wote wapo sawa.
Huna lolote umejaa umbea tu😂
 
MM SIO CCM WL CDM LKN NAFIKIRI TRAORE AMESHUGHULIKA NA MAFISADI YT YA NCHI PASIPO KUJALI VYAMA VYAO. MAGU YY ALIYASHINDWA MAFISADI YA CCM
Lete mfano hai hapa
 
wanaoshangaza zaidi ni wanachadema wanaopamabania democrasia lakini wanamshbikia Dikteta Traore
 
Back
Top Bottom