Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
Sijawahi kuwa shabiki wa siasa za Urusi na china. Ingawa naiuhusudu mifumo ya kiuchumi na kielimu ya uchina.Mbona ww unaishabikia Urusi na China halafu unaiponda CCM
😀😀😀Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
SIYO KWELI!Dunia hii ni wapi ambapo watu hawaminywi...
Ndio hivyo nakwambia dunia ya sasa hususan karne hii Haki ni Illusion; Hata kama sheria zipo sio necessarily ni Haki..., Demokrasia ina loopholes kibao kama jamii hatujaweza kufika kwenye Real Power to the People bado ni power to minority..., although on paper should be the best system lakini practically what is preached is not practiced (na hii ni worldwide); kwahio if it is possible kwa wakati husika a Benevolent Dictator might be the way to go forward sababu hata hio demokrasia inayokuwa preached sio Power to the people..., ndio maana nimekuuliza ni kipi tunataka kwenye Demokrasia ? Na je Traore is he better au worse kuliko waliopita, Na je Kiongozi kazi yake ni nini zaidi ya kuwaunganisha watu na kuwapa a feel good factor ya kuweza kwenda pamoja na kuchangia maendeleo yao ?SIYO KWELI!
Waminywaji ni wahalifu wa kijamii lakini uminywaji wa watu wasio na hatia ni ufashisti.
Tunachokataa ni kumkosoa kiongozi kuwa ni kosa la kiahini!
Mbona ulimpinga Magufuli? Acha unafiki wako wewe Allen Kilewella😂😎Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi!
Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
Nilimpinga kwenye nini? Ni kweli nilimpinga lakini nilimpinga kwenye nini?Mbona ulimpinga Magufuli? Acha unafiki wako wewe Allen Kilewella😂😎
Kama demokrasia ina hizo "loopholes" kibao unazosema, unadhani mbadala wake ni upi?Demokrasia ina loopholes kibao kama jamii hatujaweza kufika kwenye Real Power to the People bado ni power to minority...,
Unazunguka zunguka tu.😎Nilimpinga kwenye nini? Ni kweli nilimpinga lakini nilimpinga kwenye nini?
Halafu nimesema kina Traore ni zao la uongozi mbaya kama wa CCM uliopo hapa Tanzania.
Sawa. Labda nipo "round about".Unazunguka zunguka tu.😎
Hilo kundi lijitokeze tulijue kama ni mafisadi na ndivyo ninavyohisiFamilia kwa makini kuhusu huyu jamaa. Achana na stories tunazopata kupitia PMTV online ...... story yake ni kama ya Magufuli....
Kuna kundi la watu linalalamika anaminya uhuru wa binadamu.
Au ikitokea Burkina Faso ni sawa ila yakitendwa hapa Tanzania sio sawa?
Eti leo unajifanya kumshabikia Traore wakati ulikuwa unamuona Magufuli ni dikteta.😁Sawa. Labda nipo "round about".
Hata Traore ni dikteta pia. Magufuli kakaa miaka mitano kwenye Urais waliokuwa wanashughulikiwa si uliona walikuwa ni Wana CCM ama washirika wao! Enzi za Magufuli ni mtu gani nje ya CCM aliyeshughulikiwa na Magufuli kwa ufisadi!?Eti leo unajifanya kumshabikia Traore wakati ulikuwa unamuona Magufuli ni dikteta.
Kama demokrasia ina hizo "loopholes" kibao unazosema, unadhani mbadala wake ni upi?
Huna lolote umejaa umbea tu😂Hata Traore ni dikteta pia. Magufuli kakaa miaka mitano kwenye Urais waliokuwa wanashughulikiwa si uliona walikuwa ni Wana CCM ama washirika wao! Enzi za Magufuli ni mtu gani nje ya CCM aliyeshughulikiwa na Magufuli kwa ufisadi!?
Sisi tulimpinga Magufuli kwa kukandamiza haki za raia wasio wana CCM kama afanyavyo Traore. Lakini kupambana dhidi ya ufisadi wa kimfumo wote wapo sawa.
Lete mfano hai hapaMM SIO CCM WL CDM LKN NAFIKIRI TRAORE AMESHUGHULIKA NA MAFISADI YT YA NCHI PASIPO KUJALI VYAMA VYAO. MAGU YY ALIYASHINDWA MAFISADI YA CCM