jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,266
Wengi wameanza kuangalia hii mipira baada ya kuja mjini aidha kufanya biashara, kufanya kazi au kusoma.Huyo aliesema wamecheza vipind tofaut
Kwa hiyo inawezekana hana historia ya miaka ya huko nyuma.
Na kwa kuwa Watanzania tuna utaratibu mzuri wa kupinga kila tusichokijua yupo huru kupinga ila uzuri wa wenzetu wana kawaida ya kuhifadhi kumbukumbu zote.
Uliza leo Simba au Yanga kama wana hata karatasi inayoenyosha orodha ya majina ya wachezaji wao mwaka 2000-2001.