Wengi wameanza kuangalia hii mipira baada ya kuja mjini aidha kufanya biashara, kufanya kazi au kusoma.Huyo aliesema wamecheza vipind tofaut
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu hatar sna.Wengi wameanza kuangalia hii mipira baada ya kuja mjini aidha kufanya biashara, kufanya kazi au kusoma.
Kwa hiyo inawezekana hana historia ya miaka ya huko nyuma.
Na kwa kuwa Watanzania tuna utaratibu mzuri wa kupinga kila tusichokijua yupo huru kupinga ila uzuri wa wenzetu wana kawaida ya kuhifadhi kumbukumbu zote.
Uliza leo Simba au Yanga kama wana hata karatasi inayoenyosha orodha ya majina ya wachezaji wao mwaka 2000-2001.
hukufuatilia mpira wewe.wamecheza pamoja 2003Uongo, wamecheza awamu tofauti hao.
Hata mimi nashangaa imekuaje jamaa kumleta Guardiola kwenye thread hii.Gudiola kafanya nini?