Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 23, 2024 #1 Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 3,983 Reaction score 10,034 Jan 23, 2024 #2 Hilo jipu limekaa pabaya
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Jan 23, 2024 #3 Kwisha habari yake Mpuuzi huyo.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,111 Reaction score 53,092 Jan 23, 2024 #4 Baba wa kambo anajipa umuhimu kwa watoto wasio wake
mutu murefu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 996 Reaction score 2,636 Jan 23, 2024 #5 Huyu kwenye vikao vyetu huwa anadoji