Unamshauri nini Ally Kiba? Mwambie lolote..

bluetooth23

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
348
Reaction score
326
Jamaa ana sauti ya kuimba inshort ana kipaji cha muziki. Lakini ameruhusu kipaji kipotee na kuruhusu aliowatoa kumpita kama Ommy Dimpoz na wengne. Jamaa anakosa nin? Management? Washauri? Au ni nini? Asibweteke kwenda kuish kwa watu Philadelphia kule Marekani kwa akina Guru waliokuwa jiran zake pale kariakoo na wakahamia nchini Marekani. Alikuwa amefika mbali sana lakn amejivuta shati, hamuoni mwenzake mzee wa fursa fursa Diamond? Ajipange tena stil ana nafasi bado.
 
amuulize demu wake madame litha si ni jaji wa bss anashindwa nn kumshauli dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…