bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Jamaa ana sauti ya kuimba inshort ana kipaji cha muziki. Lakini ameruhusu kipaji kipotee na kuruhusu aliowatoa kumpita kama Ommy Dimpoz na wengne. Jamaa anakosa nin? Management? Washauri? Au ni nini? Asibweteke kwenda kuish kwa watu Philadelphia kule Marekani kwa akina Guru waliokuwa jiran zake pale kariakoo na wakahamia nchini Marekani. Alikuwa amefika mbali sana lakn amejivuta shati, hamuoni mwenzake mzee wa fursa fursa Diamond? Ajipange tena stil ana nafasi bado.