Unamshauri nini Diamond katika Ngoma yake na Rich Mavoko inayokuja?

Unamshauri nini Diamond katika Ngoma yake na Rich Mavoko inayokuja?

Mkuu unafanya kazi na diamond nini..? Utapeleka ushauri ka tukikupa?
 
Mimi namshauri awakumbuke na wasanii wengne ambao bado hawajapata soko kama alivyofanya kwa ray na haminaizo
 
....namshauri arudi nyuma kidogo...atazame video yake ya wimbo MBAGARA....alishoot akiwa jalalani na bado watu waliikubali nyimbo na video...ajaribu (hasa nyimbo za peke yake) kupunguza mbwembwe madikodiko mengiii...tayari ana jina so asitumie gharama kubwa kwenye video...Akishirikiswa hiyo ni juu yake maybe anaefanya nae collabo ajajitangaza kimataifa...ajifunze kubana matanuzi na hilo litampa heshima zaidi kuliko anavyofikiria...atazame mastaa wa mbele...
 
Namshauri kama vipi apunguze collabo arudi kipindi cha ukimuona aanze tena kuimba solo bila mikolabo coz naona kolabo kama zimezid mwishoe kama hazishtui iv zikitoka
 
Namshauri asitoe huo wimbo na Richard maana atafunikwa vibaya mno na alivyo na gubu atamtoa kwenye label yake kabisa.

Kama Raymond kamfunika kwenye salome itakuaje Mavoko?!
 
Aombe ushauri Kwa Huyu jamaa hapa chini

 
Namshauri asitoe huo wimbo na Richard maana atafunikwa vibaya mno na alivyo na gubu atamtoa kwenye label yake kabisa.

Kama Raymond kamfunika kwenye salome itakuaje Mavoko?!
Walilia tuzo katika ubora wenu
 
Bora aendelee kutumia wale wale watoto wa south africa.......atumie hawa wabongo kila siku tunawaona na maskendo yao machafu kwenye magazeti ya shigongo
watamuharibia video bure
 
Namshauri Collabo ijayo apige na Man Fongo na Shishi Baby
 
Back
Top Bottom