Huo ndio ushauri [emoji107]
Anataka tumshauri simbaHuku tulipofikia kweli kubaya,ile 1/4 kweli ipo.maana haiwezekani binadamu mwenye akili timamu akatoa ushauri kwa mnyama.
Walilia tuzo katika ubora wenuNamshauri asitoe huo wimbo na Richard maana atafunikwa vibaya mno na alivyo na gubu atamtoa kwenye label yake kabisa.
Kama Raymond kamfunika kwenye salome itakuaje Mavoko?!
walilia watoto katika ujinga wenu.Walilia tuzo katika ubora wenu
Inachom kama pasi mtu mzima unalilia tuzowalilia watoto katika ujinga wenu.
Kinachochoma zaidi ni dume zima kulilia mtoto wa mwanaume mwenzio awe wako.walilia watoto katika ujinga wenu.
Wewe Ni H baba Aka H Bibi Au ?Kinachochoma zaidi ni dume zima kulilia mtoto wa mwanaume mwenzio awe wako.