Unamshauri nini Diamond katika Ngoma yake na Rich Mavoko inayokuja?

Apunguze kuwaweka madancer kwenye video zake...
Angalau ijayo ingependeza iwe ya huzuni flani ivi afu video ichukuliwe sehemu ya simanzi awe anaimba huku anapiga guitar... Na location ya msituni auitumie akiwa anatembea huku guitar amelibeba mgongoni... Aisee
au anaweza badili akapiga ya kigangster na mambo flani ya kinyamwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…