Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
547
Reaction score
344
Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023. Je nini uzuri na ubaya wa Toyota Verrossa? Je waweza mshauri mtu anunue Toyota Verossa kipindi hiki?

Maoni yenu tafadhali
 
Namaanisha kwa kipindi hiki nikinunua Verossa ni nzuri au nitafute gari jingine? Natamani kujua uzuri na ubaya wa Toyota Verossa..?
Hahahahahah kwa kipindi hiki nunua Crown Athlete ina ubora kuliko Verossa
 
Natamani nifahamu ni faida au changamoto zipi nitapata nikinunua Verossa kwa Sasa
Changamoto huwa hakuna ikiwa una hela. Spare parts zimejaa Ilala bei chee tu unapata. Kikubwa utakuwa mtu wa ajabu tu kwenye jamii yetu ya kibongo kununua gari ambayo iko out of class kwa sasa. Waliokuwa wana Verossa sahizi wanaendesha Crown na Benz.
 
Achana nalo
Kamara mark x
Benz au crown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…