Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

Mbona jamaa kaeleweka vizuri sn, hujaelewa wap mkuu? Anachotaka ni ushauri juuya gari Aina ya Verrosa na si vingine...... Or mbadala ya Verrosa ipi nyingine achukue, ? Simple and clear....
 
Verossa inakunywa sana mafuta kuliko hata crown

Nna mshkaj analo, mm nina crown. Cha ajabu jamaa nilimuachia crown siku mbili akasema inakunywa vizuri kuliko verossa yake

NB: crown yangu cc3000, yeye verosa cc2500

Pia stability verossa nyepesi, niliiendesha sikupemdezwa na stability yake

Mimi sikushauri kabisa
 
Back
Top Bottom