Unamshauri nini mtu aliekosa mawazo mapya ua fikra mbadala dhidi ya hoja mbalimbali kisiasi, kijamii au kiuchumi zinazo wasilishwa humu jukwaani?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kwa hekima na busara akae tu kimya na kujifunza kufuatilia kwa umakini maoni na mitazamo ya wengine, huenda akajifunza na kuongeza ufahamu na uelewa wa masula hayo muhimu yanayoweza kumsaidia huko mbeleni?

Ama apumzike au kuendelea na shughuli zake nyingine, huenda akatumia muda wake vizuri kwa faida?

Au akurupuke hivyo hivyo bila kua na maoni au mtazamo chanya bali tu bila sababu ya msingi aamshe mihemko, ghadhabu, kutukana na kuporomosha matusi mazito mazito ambayo hayana maana, hayasaidii wala kubadilisha chochote bila sababu ya msingi?

Unamshauri nini mtu kama huyo aliefikia ukomo wa fikra mbadala na mawazo au maoni mapya dhidi ya mada mbalimbali zinazowasilishwa na wangwana humu jukwani,

Maana saa zingine makasiriko ni mengi bila sababu japo inasikitisha na kutia huruma sana...
nadhani inafaa na muhimu sana kutokukata tamaa katika kujenga utamaduni wa kukubaliana kutofautiana kistaarabu bila matusi...

Nadhani hili ni muhimu zaidi kwa mustakabali mwema wa umoja, utangamano, amani na utulivu miongoni mwetu, kama familia muhimu na pana sana ya JF Tanzania 🐒
 
Matusi hayapendezi ...

HOja Kwa hojaa inapendezaa zaidii ,,sema ndio hvyo AKILI atufananii lzm wamatuc wawepo na wajenga hoja wawepo ilii JF nayo iendelee kuwepo inaitajika vyote vifanyikeee..
 
Kwani kwa siku umepewa target ya kuanzisha threads ngapi aisee....😀😀😀.Threads za kuokoteza tena title ya threads zinajiuliza swali na kujijibu zenyewe na kutoa conclusion zenyewe. Ushauri wa bure tafuta kazi ya kufanya sio kushinda mtandaoni
 
kwahivyo huenda waporomosha matusi wanapata pa kutemea nyongo zilizojaa mioyoni mwao kutokana na changamoto mbalimbali za kimaisha wanazokumbana nazo huko mtaani, na kwahivyo hapa wanaweza kupata relief kidogo, right?🐒

ni kweli lakini hili dude JF ni tiba mbadala kwa wengi 🐒
 
Kwani kwa siku umepewa target ya kuanzisha threads ngapi aisee....😀😀😀.Threads za kuokoteza tena title ya threads zinajiuliza swali na kujijibu zenyewe na kutoa conclusion zenyewe. Ushauri wa bure tafuta kazi ya kufanya sio kushinda mtandaoni
kwahivyo gentleman,
uko sambamba nami bampa to bampa kila nilipo, right?

umefanya vizuri sana kunifolo, utafika mbali nakuhakikishia, usichoke wala kukata tamaa, sawaee?🐒

uongozi sio lelemama aise masare njala yavire ndrugu yangu
 
Unapenda sana kuweka hako ka 🐒 yaani lazima ukaweke. Huoni nawe unakosa emoj mbadala?
 
nadhani thread ya kaimoj inaweza kua wakati mwingine ili nipate mbadala,

nadhani tuzingatie hoja kwa sasa, au kuna makosa yoyote ndrugo zango? 🐒
 
Back
Top Bottom