Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Yaani kwa mawazo yako ktk maisha utakuwa huna exposure. Hivi kukopa ni jambo baya au ubaya ni matumizi ya mkopo?1. Asikope
2. Asikope
3.
4
5. Asikope
Bali kidogo atakachokipata ndio atenge fungu lake kwa ajili ya uwekezaji.
Mfano... Kila mwezi anaweza kununua tu hata kuku 1 wa mayai, wakitoka wengi anauza na kununua mbuzi, mbuzi+++=ng'ombe.
Au Kama ana mshahara mkubwa basi kule Dar Kuna makampuni yanahusika na kuuza viwanja ambavyo kila mwezi unalipa kidogo kidogo.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Shukrani sana kwa ushauri makini1. Asikope
2. Asikope
3.
4
5. Asikope
Bali kidogo atakachokipata ndio atenge fungu lake kwa ajili ya uwekezaji.
Mfano... Kila mwezi anaweza kununua tu hata kuku 1 wa mayai, wakitoka wengi anauza na kununua mbuzi, mbuzi+++=ng'ombe.
Au Kama ana mshahara mkubwa basi kule Dar Kuna makampuni yanahusika na kuuza viwanja ambavyo kila mwezi unalipa kidogo kidogo.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kukopa ni jambo baya??1. Asikope

Usikope ili kujenga nyumba au kununua kiwanja. Kopa tu ikiwa una biashara inayorun na unaona inafaida! Na ukikopa kwa ajili ya biashara kopa mkopo wa muda mfupi.Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k
Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote changamoto hazikosekani iwe ni figisu,upendeleo, utaratibu, mazoea na kadhalika
Kulingana na uzoefu wako, Je unamshauri nini mtumishi huyu mpya wa umma ili aweze kufanya kazi zake vyema na aweze kufanikiwa pamoja na yote ambayo kwa namna moja au nyingine huwa ni kawaida kutokea na yanaweza kumkwamisha asipochukua tahadhari mapema?
Shukrani sana ila What if hauna biashara inayo-run kwa sasaUsikope ili kujenga nyumba au kununua kiwanja. Kopa tu ikiwa una biashara inayorun na unaona inafaida! Na ukikopa kwa ajili ya biashara kopa mkopo wa muda mfupi.
Hatari sana😂kopa mkuu fanya biashara , jenga nunua viwanja, serikali haina huruma uaweza ukafa huna hata suruali
Shukrani kwa ushauri makini, lakini kwanini mikopo mingi huwa haitimizi lengo husika, je ni huwa midogo au mipango tu?Kukopa ni jambo baya??
Mshauri Namna bora ya kutumia fulsa za mkopo na sio kumuaminisha kuwa ni jambo baya
Mikopo sio mibaya shida ni matumizi ya Mikopo yetundio tatizo lilipo
Unapo kutana na fursa yenye kuku taka kuweka million moja na Ina expectations ya faida kwann usikope ukawekeza kuliko kusubiri udundulize kwa miez mi tatu kupata iyo pesa? Kwa sababu fulsa haisubiri mtu
Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyoShukrani sana ila What if hauna biashara inayo-run kwa sasa
Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyoHabari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k