Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Nimeshuhudia sana hii tabia kwa wanaume wengi. Mtu akikataliwa na mdada anaamua kukomoa anamtongoza rafiki yake alafu anamgonga. Wakati mwingine ndugu yake ana mgonba na anaonyesha hadharani.
Huu ni uhuni na ushamba mkubwa.
Huu ni uhuni na ushamba mkubwa.