Unamtongoza mdada akikutolea nje kwa hasira unamtongoza rafiki yake au ndugu yake alafu unamtafuna. Huu ni uhuni

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nimeshuhudia sana hii tabia kwa wanaume wengi. Mtu akikataliwa na mdada anaamua kukomoa anamtongoza rafiki yake alafu anamgonga. Wakati mwingine ndugu yake ana mgonba na anaonyesha hadharani.

Huu ni uhuni na ushamba mkubwa.
 
kama ambavyo na hao wagongaji wanakuona wewe ni mshamba na wa kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…