Ndo maana mi nawish niwapate mabinti wanaojiweza., tatizo huwa siwapati asee...:crying:
Jf naomba maoni kidogo. Eti demu wako anakuomba hela na hali yako iko vibaya ; lakini unajipigapiga unamtumia ka elfu 20. Eti ana sema mbona kidogo hivyo? Hata bila kushukuru. Is it fair?
Asa kama huna pesa unang'ang'ana na wanawake wa kazi gani?
Jf naomba maoni kidogo. Eti demu wako anakuomba hela na hali yako iko vibaya ; lakini unajipigapiga unamtumia ka elfu 20. Eti ana sema mbona kidogo hivyo? Hata bila kushukuru. Is it fair?
na wewe mwombe uone kama atakupa hiyo elfu 20
Asa kama huna pesa unang'ang'ana na wanawake wa kazi gani?
kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe bila we kumkera kwa kumuomba ovyo.