UNAMTUMIA HELA ALAFU ''mbona nikidogo hivyo?'' ni sawa?

UNAMTUMIA HELA ALAFU ''mbona nikidogo hivyo?'' ni sawa?

Daaak kumbe si mm tu mdemu aliyeniambia hela gani hii, yaani sikuweza kuendelea nae nikammwaga hapo hapo, km raha tumeona wote tena yeye nado kalia sana na vile viguno vya uuuuaaaaaa nakojo.................... kisha kesho yake asubuhi unampa wekundu na jana yake kbla ya game kala km 40 hivi, mi nikaona asepe hata km nimekaa nae muda kidgo, kweli baadhi ya mademu wana tabia mbyaa, wakimegwa na kuachwa wanalalamika.
 
kama ni kidogo mbonavalikuwa hana vmpaka akamua kuomba?,huyo ni pasua kichwa,atakusumbua sana,chukua hatua bado mapema bro
 
nenda kwa babu ukatengenezwe..ahh watakuja wenyewe nakwambia

Rose1980 ndo maana nakupendaga we mdada ingawa sijawahi kukuandikia sredi una mawazo mazuri sana.. Ngoja nikamuone babu asee..
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada hajajua kama we ni almasi mchangani........
wanaume wengi siku hizi wanapenda kuhongwa kama umempa hiyo twenty angepiga goti kukushukuru aseeh
 
Jf naomba maoni kidogo. Eti demu wako anakuomba hela na hali yako iko vibaya ; lakini unajipigapiga unamtumia ka elfu 20. Eti ana sema mbona kidogo hivyo? Hata bila kushukuru. Is it fair?

yani kama ndo umempa akakuteli kidogo unaichukua na kofi juu!
 
Asa kama huna pesa unang'ang'ana na wanawake wa kazi gani?

we si umelalamika unachukia kuchunwa vivocha...huoni kama upo chama kimoja na huyu....nawe achana na wanawake kama huwezi kutoa vocha
 
Jf naomba maoni kidogo. Eti demu wako anakuomba hela na hali yako iko vibaya ; lakini unajipigapiga unamtumia ka elfu 20. Eti ana sema mbona kidogo hivyo? Hata bila kushukuru. Is it fair?

ukiona hivyo anatafuta sababu ya kuachana na wewe please soma alama za nyakati
 
na nyumbani kwa mkeo na watoto saba umeacha buku mia tano,CHIZI WEWE
 
Hahahaaaaaaaaaa ............. kama anazingua piga chini...... hizi species zipo nyingi za kutosha..... labda ataona umuhimu wako..... Sahizi life tait, wanaume wachache, wanaojali wachache.... Asikuzingue bhana...... Mwagililu huko....
 
na wewe mwombe uone kama atakupa hiyo elfu 20
 
She is after money. She is not for you!
 
Back
Top Bottom