Tajiri wa mchongo. Tajiri tunayemjua sisi ni Bakhresa.Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa anamaanisha nini?
View attachment 3641907
Wewe ambaye sio wa mchongo tuonyeshe utajiri wakoTajiri wa mchongo. Tajiri tunayemjua sisi ni Bakhresa.
Hao vibarua wameridhia kufanya hizo kazi, hawajalazimishwaMbona vibarua wa viwandani kwake anawanyonya kwa kuwapa ujira mdogo ? Mbingu/pepod ipi anayoizungumzia bila kutenda yaliyo mema ?
Sisi?Tajiri wa mchongo. Tajiri tunayemjua sisi ni Bakhresa.
We mhehe na wewe dah!Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa anamaanisha nini?
View attachment 3641907