Kumekuwa na trend ambayo inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii watu wakipost picha zao walizo edit kwa Akili bandia (AI) zikiwaonyesha wakiwa miaka ya 80's .
Shida haijaanza leo, bali imeibuka pale unapomchukulia mtu kwa heshima zote kama mtu wa busara au kaka wa mfano, kisha ghafla unakutana na picha yake aliyojiposti kwenye mtandao wa WhatsApp au Instagram, tiktok na facebook.
Picha hiyo inamwonyesha akiwa katika "enzi zake za miaka ya 80," lakini ajabu ni kwamba amevaa koti hilo hilo la kisasa la AI linalotrend mtandaoni leo hii!
View attachment 3670188
View attachment 3670189
View attachment 3670190
View attachment 3670191View attachment 3670192View attachment 3670193View attachment 3670194