Unamuheshimu mtu vizuri alafu unakuta kajiposti enzi za mwaka 80's na koti linalotrend kwa AI

Simu yake, pesa yake, bando lake.

Humlishi, humvishi na wala humsaidii kwa lolote.

Mtu akijiposti, wewe unaumia nini?

Wabongo msiotumia mitandao ya kijamii huwa mnajifanya mna akili sana kumbe ni mabumunda tu!
 
Hii trend imeanzia wapi?
Nimeona sana watu wakijipost status na hayo Makoti, sikuelewa ama niliona hayanihusu kumbe ni ishu serious sana?..
 
Ai inaleta tishio la kubadili historia miaka ya mbele,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…