unamuombaje Penzi mwenzio

unamuombaje Penzi mwenzio

Kwangu sina muda wa kuremba.
Actions speaks louder than words.
Nampiga mtama, kisha kibao kimeja kisha ye mwenyewe anasaula vyote alivyokuwa amevaa

kha jamani sa hapo si inapita kama msumeno mwe
 
nakumbuka siku za mwanzoni nikawa nimeshikwa hamu, akaniambi yuko kwenye siku zake.
Nikamwambia mbona hujavaa pamba, akajibu amechomeka pamba kijiti (hizi nadhani zimetoka siku za karibuni)
akaniambia huoni nje kuna kauzi kananing'inia?
Nikamwambia kwa jinsi nilivyio na hamu natamani nikavute haka kauzi.
Basi tangu siku hiyo nikiwa nimemmiss na nina hamu na chakula cha roho huwa namtumia msg na kumwambia kuwa nina hamu ya kuvuta ka uzi.
basi huo ndio msemo wetu.

Mi huwa namwambia LIVE naomba chakula chakula bila kunawa mikono
 
Baba mwenye nyumba wangu nilikuwa nikimsikia akimwambia mkewe twende tukapige bajeti.
Mara kwa mara nimemsikia akisema hivyo.
Nikaja kujua kumbe kupiga bajeti ni kuucheza ule mchezo mtamu
 
mamy hizi kind of pads lkn ndogo sana size yake ni kama kidole cha kati,kwa sisi tunaopenda kuogelea,kuendesha baiskel etc ni nzuri kuvaa wakati wa siku coz u can do anything na mtu asijue ur on ur daiz,unlike the azaz ukivaa unajistukia sana like maybe zinaonekana,kwa maelezo zaidi nicheke kona hapa kuna watu wengi and ziz is a ladies tok ishu.:gossip::gossip::gossip:
Ndo nini tena hicho my dear?
 
Baba mwenye nyumba wangu nilikuwa nikimsikia akimwambia mkewe twende tukapige bajeti.
Mara kwa mara nimemsikia akisema hivyo.
Nikaja kujua kumbe kupiga bajeti ni kuucheza ule mchezo mtamu

Si kuna jirani akipiga ulabu iwe asubuhi au mchana akirudi anamwambia mama Shallo njoo ndani baada ya nusu saa mtasikia panua panua ehee hapo hapo hapo
 
si ndio nzuri hiyo ya shaaaaaaaaaaaa,
wewe Maty, ulitaka iwe inagoma goma?

bacha hiyo staili ya huyo mtu yaani anakata mtama we unavua sa ikipita si inachana chana ka msumeno
 
mapenzi yana kazi eehh...mie ckumbuki cku ya mwisho kuombwa penzi ni lini, mie najikutaga tu tunafanya jamani!
 
mamy hizi kind of pads lkn ndogo sana size yake ni kama kidole cha kati,kwa sisi tunaopenda kuogelea,kuendesha baiskel etc ni nzuri kuvaa wakati wa siku coz u can do anything na mtu asijue ur on ur daiz,unlike the azaz ukivaa unajistukia sana like maybe zinaonekana,kwa maelezo zaidi nicheke kona hapa kuna watu wengi and ziz is a ladies tok ishu.:gossip::gossip::gossip:

Nimekupata mamii,kumbe zinaitwa O.B???mi natumiaga mara chache sana nachukua pharmacy sikujua zinaitwa O.B japo nahisi kama zimeandikwa.Watakuwa wameelewa tu wenzangu na mie tuliokuwa tunataka kujua.
 
Chakula alicho sema mzee mwinyi "gonjwa hili limeingia pale tunapo penda sote" Ingekuwa kabeji tungesema tuache kula lakini hili haliwezekani

unajua Fidel
hata ukienda kwa Plan B, bado tatizo hilo lipo tu!!!!!
 
bacha hiyo staili ya huyo mtu yaani anakata mtama we unavua sa ikipita si inachana chana ka msumeno

Wewe Maty, ichane chane kwani ni kiwembe hicho,
hicho ni kiungo kilichobarikiwa na mwenyezi mungu kwa makusudi kabisa,
tena na mungu alikipendelea kwa kukipa umbo zuri la kupendeza!!
Thanks GOD!!!!!!
 
mamy hizi kind of pads lkn ndogo sana size yake ni kama kidole cha kati,kwa sisi tunaopenda kuogelea,kuendesha baiskel etc ni nzuri kuvaa wakati wa siku coz u can do anything na mtu asijue ur on ur daiz,unlike the azaz ukivaa unajistukia sana like maybe zinaonekana,kwa maelezo zaidi nicheke kona hapa kuna watu wengi and ziz is a ladies tok ishu.:gossip::gossip::gossip:

Hivi Pearl, Pad hizi na zile chupi zenu za vikamba zinaendana kweli?
 
Back
Top Bottom