vipi wewe..! unamuota mpenzi wako ulie nae?au unamuota x...........:tape2:...kwa wataalam nini siri ya ndoto?na kama humuoti kwa mazuri au mabaya what does it imply?
mostly ndoto ni reflection ya mawazo yetu ya kutwa nzima au mrudio wa mambo tuliyokuwa tunayafanya kutwa nzima au mambo tunayoyawaza mara kwa mara,so ukiwa unamuota x wako mara kwa mara that means bado unampenda nawe huwa unatumia muda mwingi kumfikiria kichwani mwako,so tafakari then chukua hatua.