Unamwabudu shetani Bila kujua!

NI KWELI ISIYO NA SHAKA YEYOTE KUWA WENGI WANAMWABUDU SHETANI WAKIFIKIRI NI KWENDA NA WAKATI, YESU KRISTO ALIPOSEMA IMEKWISHA ALIMALIZA YOTE MSALABANI NA MTU MWINGINE YEYOTE ASIYE ENDA NA NENO LAKE YUKO KINYUME NAYE, YESU ALIWAAGIZA WANAFUNZI WAKE AKIWAAMBIA LUKA 10:9 WAPOZENI WAGONJWA WALIOMO,WAAMBIENI UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA.
Mathayo 10;7-8 HUBIRINI MKISEMA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA, POZENI WAGONJWA,FUFUENI WAFU,TAKASENI WENYE UKOMA, TOENI PEPO.
NI KWA NENO LA IMANI KWANZA ASIYEFANYA HIVYO AFANYA KWA NGUVU NA UWEZA WA SHETANI - Hivyo hatuhitaji uponyaji wa kuoteshwa tena:angry::angry: mtapona kwa muda lakini mtakuwa watumwa wake shetani,KISHA ATAWAMALIZA MAANA TAYARI MMEMPA NAFASI, Kusudi lake daima ni moja tu asiende peke yake motoni ( je hujui kuwa shetani hana nafasi ya kutubu??????????!) POLENI SANA WA LOLIONDO.2Wakorinto 4:3-4 Lakini ikiwa injili imesitirika imesitirika kwa wao hao wanaopotea, ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikra zao, wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake KRISTO YESU aliye sura yake MUNGU.
 

KWANI KWENDA loliondo NI DHAMBI?? Babu mbona alishasema ameoteshwa na Mungu, Kakobe atakuwa na lake jambo
 
Ni kweli wengi wanamuabudu shetani pasipo kujua kwa mfano: nani ambaye hajashika noti ya tanzania ya shilingi mia tano? itazame vyema inapicha ya nyoka pembeni je Nyoka huyu kwa alama za nchi yetu anamanisha nini mpaka picha yake itambulike ktk pesa za TZ? Pia tazama Nembo ya Hospitali ya Taifa (Muhimbili) pia ina alama ya Nyoka je inamaanisha nini? ukweli kuna vitu vingi tunashirikishwa na wafuasi wa shetani ambao ni binadamu wenzetu hilo tukubali!
 
Siku hizi ni kawaida watu na vijana waliowengi kuntukuza shetani bila ya wao kujua. ni mbaya sana. Na siku ya mwisho Kila mtu atawajibika!

Siyo siku hizi , imeanza siku nyiingi tu hiyo kitu ya kumwabudu na kusujudia shetani bila kujua....
Imeandikwa...si kila roho inatoka kwa Mungu, jihadharini na roho ya mpinga kristo........
So, baba, ni toka zamani sana!
 

sasa ndio ulie,.....si utope somo huku ukiwa kavu,...acha kulia bana au kama una lengo la kutuongopea na kutuogofya ....
 
Siyo siku hizi , imeanza siku nyiingi tu hiyo kitu ya kumwabudu na kusujudia shetani bila kujua....
Imeandikwa...si kila roho inatoka kwa Mungu, jihadharini na roho ya mpinga kristo........
So, baba, ni toka zamani sana!

Ni kweli kwa zamani ufahamu na mambo mengi yalikua yamefichwa!, Ila kwa sas kila kitu kipo wazi ni kama sasa inataka kuwa wazi zaidi.
Nashangaa
 
sasa ndio ulie,.....si utope somo huku ukiwa kavu,...acha kulia bana au kama una lengo la kutuongopea na kutuogofya ....

Silii kaka Hizi ndo zangu za kila siku
 
sasa ndio ulie,.....si utope somo huku ukiwa kavu,...acha kulia bana au kama una lengo la kutuongopea na kutuogofya ....

Silii kaka Hizi ndo zangu za kila siku, Hupswi kuogopa
 
 
"BILA KUJUA" aaaaagh Mungu hawezi kutuadhibu kwa kitu ambacho hatujui wataadhibiwa ambao wanaabudu makusudi

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…