Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
kuoa ni gharama au ni uoga wa maisha?
SafiWatu mnapenda complications sana, mnataka sherehe kubwa wakati uwezo mdogo..
Ndoa ni baada ya mchungaji/sheikh kufungisha, vinavyobaki ni mbwe mbwe na si lazima..
Kama pesa huna ita watu wa karibu na ndugu nyumbani, pika hata makande na maji watu wale kusheherekea..
Mkimaliza mnatawanyika...
Watu mnakaa kamati miezi miwili, mnasumbua watu kwenye ma group whatsapp hadi kero kuomba michango, halafu na jitihada zote hizo ukumbini sherehe itafanyika kwa masaa machache ndani ya siku moja, inaanza saa moja jioni hadi saa 5/6 usiku...
Fanya sherehe uwezo wako unapoishia, sio siku ya harusi bibi harusi na bwana harusi mnawapandisha V8 ya kukodi sherehe ikiisha wanaanza kukimbizana kwenye daladala na boda... hivi kwanini usiishi katika uhalisia wako?
Jazia nyama nono tafadhali Mkuu.Kuoa ilikuwa zamani siku hizi nikiona mtu haoi ni fresh tu kuna utapeli na wizi wa waziwazi kuna ndugu yangu kafa ******* sana
Ivi mtu unawezaje kununua UCHI?Tumelogwa riverside
Acha janja janja.. Tafuta mke OAWaache watu na maisha yao kikubwa hayana madhara kwako.
DuuuhKuoa ilikuwa zamani siku hizi nikiona mtu haoi ni fresh tu kuna utapeli na wizi wa waziwazi kuna ndugu yangu kafa ******* sana
Huna amani kama niliyonayo..We uliyeoa unapata nini ambacho mi sipati?
Wewe itakua MBINAFSI sanaKununua maziwa ni nafuu kuliko kufuga ng’ombe.
Unalipia laki moja unapata huduma stahiki unaachana na usumbufu wa kuulizwa ulizwa ‘baby utakula nini’ ‘utarudi sa ngapi’ ‘ulikuwa wapi’ ‘nikuambie kitu’ na takataka zingine.
BTW kupanga ni kuchagua, kuna watu wengine hatuwezi kuishi na wanawake hata kwa 24 hours tukiwa sober maana kuna kitu cha kipuuzi tu lazima atakiongea alafu kitakuharibia mtiririko wa fikra, ni bora nikulipe kwa muda mchache uniburudishe kisha kila mtu aendelee na shughuli zake
aiseeFuture ipi? Kwa sasa hasara za ndoa ni nyingi kuliko faida, kama una watoto stress za nini na toto la mtu
Tunaweza tu mbona kawaida mkuuIvi mtu unawezaje kununua UCHI?