Unamwaga laki kwa dada poa kila wiki, lakini harusi unaona ni gharama kubwa – vijana mmerogewa wapi?

Unamwaga laki kwa dada poa kila wiki, lakini harusi unaona ni gharama kubwa – vijana mmerogewa wapi?

Mwaka mzima umemaliza zaidi ya milioni 5 kwa ‘upuuzi wa kununua mbususu’ – kila wiki dada poa tofauti, hoteli, vocha, na outing. Lakini ukiambiwa uanze mipango ya harusi unasema “bado muda”, “harusi ni gharama”, au “madem wa siku hizi hawafai kuolewa.” mna shida gani vijana?

Swali langu ni moja tu:
Hawa mnaowapa kila kitu bila ndoa – wao wanastahili, lakini msichana mzuri wa heshima hawezi kupewa heshima ya ndoa?

Na je, kama unaweza kutumia hela kwa mtu usiyemjua vizuri usiku mmoja, kwa nini iwe ngumu kutumia kwa yule mtakaetengeneza future pamoja

Tuwe wakweli kwa roho safi – kuoa ni gharama au ni uoga wa maisha?
kwani harusi ni bei gani?
 
Kufurahia ubachelor ni uwe unajiweza kiuchumi yaani unapiga simu mmoja tu mtoto anakuja kufanya kila kitu.
Sio bachelor unaishi chumba kimoja umri umeenda 30+ hadi sufuri na kudeki unafanya mwenye ukitaka mbususu unaenda kwa wale wachafu wa riverside huo ni ulofa.
 
Watu mnapenda complications sana, mnataka sherehe kubwa wakati uwezo mdogo..
Ndoa ni baada ya mchungaji/sheikh kufungisha, vinavyobaki ni mbwe mbwe na si lazima..

Kama pesa huna ita watu wa karibu na ndugu nyumbani, pika hata makande na maji watu wale kusheherekea..
Mkimaliza mnatawanyika...

Watu mnakaa kamati miezi miwili, mnasumbua watu kwenye ma group whatsapp hadi kero kuomba michango, halafu na jitihada zote hizo ukumbini sherehe itafanyika kwa masaa machache ndani ya siku moja, inaanza saa moja jioni hadi saa 5/6 usiku...

Fanya sherehe uwezo wako unapoishia, sio siku ya harusi bibi harusi na bwana harusi mnawapandisha V8 ya kukodi sherehe ikiisha wanaanza kukimbizana kwenye daladala na boda... hivi kwanini usiishi katika uhalisia wako?
Bro kunywa bia 10, nita lipa mzee
 
Mwaka mzima umemaliza zaidi ya milioni 5 kwa ‘upuuzi wa kununua mbususu’ – kila wiki dada poa tofauti, hoteli, vocha, na outing. Lakini ukiambiwa uanze mipango ya harusi unasema “bado muda”, “harusi ni gharama”, au “madem wa siku hizi hawafai kuolewa.” mna shida gani vijana?

Swali langu ni moja tu:
Hawa mnaowapa kila kitu bila ndoa – wao wanastahili, lakini msichana mzuri wa heshima hawezi kupewa heshima ya ndoa?

Na je, kama unaweza kutumia hela kwa mtu usiyemjua vizuri usiku mmoja, kwa nini iwe ngumu kutumia kwa yule mtakaetengeneza future pamoja

Tuwe wakweli kwa roho safi – kuoa ni gharama au ni uoga wa maisha?
Ni kwamba yeye ndio hafai kuwa mume bora, na anachopeana na malaya wenzie ni cha hadhi ya chini sana kwa mke wa ndoa, hana viwango vya ndoa! Asilaumiwe, kwani atamtesa mtu ambayo amejitoa kwa dhati kwake.
 
Back
Top Bottom