Unamwaga laki kwa dada poa kila wiki, lakini harusi unaona ni gharama kubwa – vijana mmerogewa wapi?

Waache vijana wajifurajishe nafsi zao.Siku wakishtuka tunawapeleka makaburini kupumzika.
 
Very myopic

Ndoa ni zaidi ya haeusi

Ndoa ni lifetime commitment…. Emotionally, spiritually and physically

Jamaa anataka bao tu akalale…. Why awe mwekezaji?
 
Wanawake sikuhizi wana wanaume wengi, pia Kila siku wanatongozwa sana, (hawana msimamo), wanatongozwa na Kila mtu hawakatai hivi mkoje mmegeuzi hicho mlicho kificha katikati ya miguu yenu kama mtajii wa kuendesha maisha mkitulia vijana wata funga ndoa
 
Hawa wanaotoa laki kila wiki wapo kweli na hawana wake?

Kuna watu hawajala hata apple maisha yao au maziwa wakiona ni anasa
Kumbe maisha mabaya kwao, ndio wanaotoa laki kwa wiki?

Basi kuna watu wana hela za kuchezea sana halafu humu wanazuga tu
Hongera zao 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…