Unaniibia kwa njia ya Tozo halafu unasema nimekusamehe kukuibia: Ridiculous!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hicho ndicho kilichotokea hicho kinachoitwa Bunge! Serikali ilikuwa inawaibia wananchi, wanasimamisha wizi huo wanasema tumekusamehe. By principle, wamesisitisha kukuibia and then wanasema tumekusamehe! Mmenisamewhe kuniibia? Maajabu ya CCM for 60 yrs!

Tozo zinatozwa kwenye service rendered, pesa zangu za mshahara zikiwa bank , serikali hainipi service yoyote, wanachofanya ni kuniibia johnthebaptist
 
CCM na sera za Umasikinishaji.
1623627160694.png
 
Hicho ndicho kilichotokea hicho kinachoitwa Bunge! Serikali ilikuwa inawaibia wananchi, wanasimamisha wizi huo wanasema tumekusamehe. By principle, wamesisitisha kukuibia and then wanasema tumekusamehe! Mmenisamewhe kuniibia? Maajabu ya CCM for 60 yrs!

Tozo zinatozwa kwenye service rendered, pesa zangu za mshahara zikiwa bank , serikali hainipi service yoyote, wanachofanya ni kuniibia johnthebaptist
Machame panajengwa kiwanda cha kuchakata ndizi kutoka a na Tozo
 
Sasa sijui hii tozo ya 4000/= wanayovuna kwenye akaunti zetu za benki inalipia huduma gani, maana kama ni bank charges hizo wala hatuna shida nazo.
 
Back
Top Bottom