Machame panajengwa kiwanda cha kuchakata ndizi kutoka a na TozoHicho ndicho kilichotokea hicho kinachoitwa Bunge! Serikali ilikuwa inawaibia wananchi, wanasimamisha wizi huo wanasema tumekusamehe. By principle, wamesisitisha kukuibia and then wanasema tumekusamehe! Mmenisamewhe kuniibia? Maajabu ya CCM for 60 yrs!
Tozo zinatozwa kwenye service rendered, pesa zangu za mshahara zikiwa bank , serikali hainipi service yoyote, wanachofanya ni kuniibia johnthebaptist
Umeanza kuehuka, polepole utafika MirembeMachame panajengwa kiwanda cha kuchakata ndizi kutoka a na Tozo
Umeanza kuehuka, polepole utafika Mirembe
Ndo nyie mnaotafutwa mitaani na Madaktari wa MirembeMachame panajengwa kiwanda cha kuchakata ndizi kutoka a na Tozo
Machame inahusiana nini na tozo.Machame panajengwa kiwanda cha kuchakata ndizi kutoka a na Tozo