Unanimaliza Buhohela

Daaah drama queen unamtamani mume wangu!
 
Barafuyamoto ktk dk 45 yaani ana maswali na pozi flani za mwanaume anayejielewa...hadi siku hz siangalii dk 45 nikiwa na hubby kwasababu situliagi kwny kochi nanyevuka tu aaarrggghh hayupo humu?

nipo hapa mrembo.funguka pm nikukate kiu hiyo.
 
duh. ndoa ngumu sana. kuishi na mke ni mtihan mgumu sana. uki test ukikuta wamo utafanyeje. utaendelea nae then akitokea mwingine kwenye kipindi cha agenda 2015 star tv. nae utam add. then watakuwa wangap. be careful drama queen.
 
utanyegeka sana na utaambulia patupu tulia ww uyo uliye nae ndio saizi yako buhonani sijui atakufanya uonekane kituko na kujishushia heshima
afu utakuta hili ni jitu zima kabisaa na lina mitoto nyuma linanyevuka ovyo mabinti zako au wadogo zako wafanyaje sasa??
 
Siku zote huwa nawaambia vijana wenzangu "oa mwanamke anayekupenda na si mwanamke unayempenda you will be on the safe side". Haya ndio matatizo sasa...
 
Wanawake wa siku hizi ni sawa na kukaa na bomu ndani. Mda wowote linalipuka, halafu kutwa kucha wanatusema sie ndo tunachepuka.

Ndo maana siku hizi hawaolewi halafu wanatulalamikia eti siku hizi wanaume tumekuwa wazito kuoa.
Mambo kama haya yanakatisha tamaa ya kuoa.
 
​hawa ndo wake wa siku hizi.............Bora YESU arudi tu kuchukua kizazi chake
 
kumpenda mtu wala sio kosa...kuolewa hakukuzuii kumpenda mwingne kama ndio sharti basi kusingekuwa na michepuko na hilo tangazo la E.Kibonde la baki njia kuu wala nalo lisingekuwepo....Ata mimi nampenda sana yule mwanamke anaitwa Magreti Cosimas....Mwenye mke kama umo jf tusamehane wala husimtuhumu mkeo mana hanijui nakuapia.....ila mimi namuonaga kwenye Tv/Itv kipindi cha bihasha pia.Realy love you MAGRET .C(mapendooo Daiimaaaaa!!!)
 
jaman huu unga unaharibu dada zetu najua hupendi kujiuza ila ni maisha tu zen umekosa hela and no wateja kwa pande hyo na alosto linazidi ila imeipenda stayle yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…