pole sana na hongera
ila hafai huyu kaka
kamtendea dada angu vbaya sana....!!!
Kamtenda dada yako yupi??
Kama ni yule TA wa Saut mwanza bora usiseme kabisa... nimesona nao hawa saut mwanza,japo nilikua nyuma miaka miwili....!!!
Acha tuishie hapa....!!