Unanimaliza Buhohela

Unanimaliza Buhohela

pole sana na hongera
ila hafai huyu kaka
kamtendea dada angu vbaya sana....!!!

Kamtenda dada yako yupi??
Kama ni yule TA wa Saut mwanza bora usiseme kabisa... nimesona nao hawa saut mwanza,japo nilikua nyuma miaka miwili....!!!
Acha tuishie hapa....!!
 
Kamtenda dada yako yupi??
Kama ni yule TA wa Saut mwanza bora usiseme kabisa... nimesona nao hawa saut mwanza,japo nilikua nyuma miaka miwili....!!!
Acha tuishie hapa....!!

nooo nooo noo not that one
huyo wa dsm hapa tena
yani kamfanyia vbaya vibaya
 
nooo nooo noo not that one
huyo wa dsm hapa tena
yani kamfanyia vbaya vibaya

Usimuteteee sana dada yako.. kwan huwezi jua nani mzinguaji...! Kumbuka wasukuma hawapendi fujo na mbwembwe za mapenzi ya Instagram,Twitter na whatsapp...
 
jaman huu unga unaharibu dada zetu najua hupendi kujiuza ila ni maisha tu zen umekosa hela and no wateja kwa pande hyo na alosto linazidi ila imeipenda stayle yako

Maskinii pole sana usilolijua ni usiku wa giza..ushazoea kununua machangu unaona kila mdada anajiuza
 
Ha ha haaa 4ur information its true nimeolewa tena wit a very reputable person..kumbe ukichepuka mara moja unakua malaya wa meeda?

Tena malaya wa kutupwa! inakuwaje unawaza kumsaliti mumeo kwa makusudi.
we ni mjinga sana, tena blalfu!!
 
Mmmh em ngoja nigoogle nimuone huyo buhohela buhohela
Anaendeshaga mjadala..
 
Back
Top Bottom