Unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni gaidi?

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
988
Unanishawishi vipi ili niweze kuamini kua Mbowe ni gaidi?

1.Aliwahi kulipua wapi na kwa ushahidi upi?
2.Alishawahi kushtakiwa kwa kuua nani nani?
3.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kesi ya kupiga mtu kofi?
4.Alishawahi hata kuiba mali ya mtu?
5.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kumtukana mtu?

Kama hakuna alichowahi kufanya kati ya hayo, unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni Gaidi?
 
Chagua jibu sahihi
a)Ni Gaidi
b)Sio gaidi
 
Mkono shavuni
 
Watakwambia alichangia 600 000.tsh
 
Eti ni kwa sababu tu alitafuta makomandoo kutoka JEI DABLIU TII ZEDI, tena wale walio fukizwa kazi kwa hila! wa kumlinda! Na ilikua ni kwa gharama zake.
Kwahiyo hawakutaka awe na ulinzi kutoka kwa walinzi wenye vigezo?
 
Chuki tu za kisiasa
 
Tafuta maana ya ugaidi kwanza kabla ya kuanza kudhihirisha ujinga wako hapa.
 
Mbowe aachiwe mara moja, Mbowe sio gaidi!
 
Umejisajili kama shahidi wake kwenye utetezi?
 
Jaji Siyani kashindwa kutushawishi sijui nani atafanya hivyo.
 
CCM wanamuogopa mbowe kuliko DICK!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…