Unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni gaidi?

Unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni gaidi?

Unanishawishi vipi ili niweze kuamini kua Mbowe ni gaidi?

1.Aliwahi kulipua wapi na kwa ushahidi upi?
2.Alishawahi kushtakiwa kwa kuua nani nani?
3.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kesi ya kupiga mtu kofi?
4.Alishawahi hata kuiba mali ya mtu?
5.Alishawahi kushtakiwa hata kwa kumtukana mtu?

Kama hakuna alichowahi kufanya kati ya hayo, unanishawishi vipi niamini kua Mbowe ni Gaidi?
Je toka ameshikiliwa Ukonga maximum prison, je umesikia shule ngapi zimechomwa moto?
 
Back
Top Bottom