ubora wake nini Mkuu?Hamna faida yoyote,lakini bora uwekeze Simba kuliko kwa chura
inakadiriwa yanga ina wapenzi 10m+,jitahidi uwafurahishe na utengeneze wanachama 3m,malipo ya kadi kwa mwaka ni 12k,ukizidisha x3m nadhani utapata kiasi,plus nembo ya club(jezi,skafu,boksa,khanga nk) plus tv rights,kuuza wachezajiNajiuliza tu kabla sijatoa mabilioni yangu kwa Yanga. hivi nawezaje kunufaika
nikimiliki moja kati ya Timu hizi kubwa nchini moja kwa moja yaani timu iwe yangu
au kwa hisa kama alivyo MO. Kuna faida yoyote nitaipata baada ya kuwalipa
wachezaji, watendaji n.k. Mfano MO au MANJI wananufaika au watanufaika vipi?
NANI ANATAKA KUKIMBIA NCHI KAMA HANSHOPE MKUU TUACHE KABISAAA NCHI TAMU HIIII HADI VIPEPEPEOO VYA BK 5 UNASINZIA NAVYONajiuliza tu kabla sijatoa mabilioni yangu kwa Yanga. hivi nawezaje kunufaika
nikimiliki moja kati ya Timu hizi kubwa nchini moja kwa moja yaani timu iwe yangu
au kwa hisa kama alivyo MO. Kuna faida yoyote nitaipata baada ya kuwalipa
wachezaji, watendaji n.k. Mfano MO au MANJI wananufaika au watanufaika vipi?
Hamna ubora wowote zaidi ya kuepuka pressure ambazo chura atakupa.ubora wake nini Mkuu?