Unanufaika vipi ukiwekeza kwenye timu kama Simba na Yanga?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Najiuliza tu kabla sijatoa mabilioni yangu kwa Yanga. hivi nawezaje kunufaika
nikimiliki moja kati ya Timu hizi kubwa nchini moja kwa moja yaani timu iwe yangu
au kwa hisa kama alivyo MO. Kuna faida yoyote nitaipata baada ya kuwalipa
wachezaji, watendaji n.k. Mfano MO au MANJI wananufaika au watanufaika vipi?
 
inakadiriwa yanga ina wapenzi 10m+,jitahidi uwafurahishe na utengeneze wanachama 3m,malipo ya kadi kwa mwaka ni 12k,ukizidisha x3m nadhani utapata kiasi,plus nembo ya club(jezi,skafu,boksa,khanga nk) plus tv rights,kuuza wachezaji
 
Najiuliza tu kabla sijatoa mabilioni yangu kwa Yanga. hivi nawezaje kunufaika
nikimiliki moja kati ya Timu hizi kubwa nchini moja kwa moja yaani timu iwe yangu
au kwa hisa kama alivyo MO. Kuna faida yoyote nitaipata baada ya kuwalipa
wachezaji, watendaji n.k. Mfano MO au MANJI wananufaika au watanufaika vipi?
NANI ANATAKA KUKIMBIA NCHI KAMA HANSHOPE MKUU TUACHE KABISAAA NCHI TAMU HIIII HADI VIPEPEPEOO VYA BK 5 UNASINZIA NAVYO
 
Back
Top Bottom