Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

BIASHARA YA POCHI





5¥=1890Tsh (Rate 378)
Moq 50 bags kwa kila aina
Makadirio usafiri 1000tsh
 
Biashara ya jeans za like
Bei ya China 10¥=3790Tsh (Rate ya 379)
Moq pisi 20
Makadirio usafiri 1000-1500
#Sina gharama zaidi ya kukuuzia Yuan tu mengine yatabaki kama msaada tu.
 
Ina maana ukichukua mzigo wa jumla China kuja kuuza bongo hakuna hasara ndani yake coz naona bei ya vitu ni cheap sana japokuwa kodi haujaweka ila usipouuzia tamaa mzigo lazma utembee na faida lazma ionekane au nimekosea kiongozi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…