mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Binafsi sijawahi kuacha nywele zikuwe. Maana ni zile nywele flan hivi wenyewe wanaita kipilipili.
Aisee ukiziacha wiki mbili zinakuwa kama unga wa sumaku[emoji1].
Halafu ukizingatia sijawahi kumiliki kitana nyumbani kwangu.
Basi naamua tu kujipigia zangu LOW CUT kila wiki.
Nazungumzia nywele za kichwa jamani (kichwa cha juunchenye ubongo)
Hebu twambie wewe mnyowo wako[emoji120]