mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Then utapata pesa? Ukishajua ni aina gani ya kunyoaBinafsi sijawahi kuacha nywele zikuwe. Maana ni zile nywele flan hivi wenyewe wanaita kipilipili.
Aisee ukiziacha wiki mbili zinakuwa kama unga wa sumaku[emoji1].
Halafu ukizingatia sijawahi kumiliki kitana nyumbani kwangu.
Basi naamua tu kujipigia zangu LOW CUT kila wiki.
Nazungumzia nywele za kichwa jamani (kichwa cha juunchenye ubongo)
Hebu twambie wewe mnyowo wako[emoji120]
Katiba imekuwa new excuse!Tuangalie namna tunaweza kupata katiba
hii nchi imepoteza tamani kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]Mmh cha chini hatukomenti
Ha ha haVuzi kiduku.
Kipara ndezi[emoji1]Kipara pee
Nimecheka [emoji1][emoji1]Kiukweli Mimi sina nywele[emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Locomotive faintCheki hii cut yangu mkuuView attachment 1903487
NiceView attachment 1905062
My all time fav hair style... kasoro tu waye