Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

View attachment 1905957My favourite all time style
ukitaka hii style ikae poa zaidi mtu awe na kichwa cha box kama huyo jamaa na nywele zenye afya....kuna mwanangu flani nikimyoa inamkaa kinoma tena namwambiaga aje ule muda nnaokaribia kufunga ili awe mteja wa mwisho,kwangu mimi hii ndo stle nnayoipenda kuliko zote na ndo ninayonyoa kichwani kwangu na nina vinyozi wawili wanaoninyoa vizuri nikiwakosa hao basi ni bora nijinyoe mwenyewe au nighailishe maana kujinyoa napo kunanigharimu lisaa lizima na sikuhizi nimekuwa mvivu kinoma.
 
Mganga ajiganga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kiswahil kimekua kigum kuelezea kichwa unapata tabu et kichwa Cha juu chenye ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…