Unaodaiwa kuwa “Waraka wa Shura ya Maimamu” kwa Gwajima na Lukuvi

Unaodaiwa kuwa “Waraka wa Shura ya Maimamu” kwa Gwajima na Lukuvi

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
IMG_20200828_140107.jpg
IMG_20200828_140112.jpg
 
Shura ya maimamu wa wapi? Mbona hakuna address ya shura yenyewe?

Shura za maimamu wa Tanzania zinajitambua na haziwezi kukubali kutumika kisiasa kiasi hiki.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Labda kweli ndio maana mashehe wenu waliletwa huku kuja kushikiliwa mateka kwa miaka sita sasa. Ila sometimes kuna kaukweli hivi?

kwani wakati wanakamatwa uongozi woote wa juu wa Tanganyika na Zanzibar si walikuwa WAISLAM??
 
Acheni udini ninyi, dini zenyewe za kuletewa
 
Wateule wake hamuwataki ila misaada yake mnaitaka.

Acheni kila mtu aamue atakachoona kinafaa itakapofika October 28.
 
Huu ni msimamo ambao waislam wote nchini wanatakiwa wawe nao.

Mimi ni muislam kabla ya U-CCM wangu.
 
Tatizo hapa ni wale waislamu wa CCM.

Watapinga huu msimamo kwa nguvu zao zote

Kwao wao ni hiki: CCM kwanza Uislamu baadae

Hawa ndo wale hufanya bei ya kitimoto ipande kipindi cha mfungo wa Ramadhan
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom