Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
CCM ilikwisha sema kupitia Katibu Mkuu wake kuwa inatumia dola kukaa madarakani, kwakifupi haihitaji kura ya mtu, muhusika atatangazwa tu.
Huku ni kuchanganya dini na siasa.
Huku ni kuchanganya dini na siasa.
Bakwata ndio msemaji mkuu wa waislamu.
Ahaaaaaaa Nafikiri kwa upeo wngu hoja ujibiwa kwa hoja...Huku ni kuchanganya dini na siasa.
Bakwata ndio msemaji mkuu wa waislamu.
Naunga mkono hoja askofu hafai kabisa kupigiwa kura.