Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Ndugu wanaJF

Kuna umuhimu wa kuogea sabuni yenye harufu nzuri tena ambayo mpenz wako anaipenda, ama waweza kuogea sabuni yoyote hata Omo ilimradi uwe umeoga?

Nimeuliza hivi kwasababu sabuni hazipewi vipao mbele kama perfume na lotion. Kuna sabuni zingine ukiogea hata kama umejispry perfume, bado utasikia harufu yake, sasa ukikuta harufu yake siyo nzuri!
Mjulishe mpenz wako ungependa aogee sabuni ya aina gani ambayo unaipenda sana harufu yake.
 
Sisi tunapenda Medicare, ina manukato poa sana.
 
mi siogi na sabuni am just spray with my perfume daily
 
Back
Top Bottom